
BALOZI WA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' FLAVIANA MATATA AKIWA PAMOJA NA WATOTO WANAOLELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' AMBAO USIKU WA KUAMKIA LEO WALIKUTANISHA WADAU DOUBLE TREE HOTEL JIJINI DAR KATIKA HARAMBEE YA KUWACHANGIA WAPATE GARI.....KATIKA TUKIO LA RED RIBBON FASHION SHOW, AMBAPO KULIKUWA NA FASHION SHOW PAMOJA NA DINNER SAMBAMBA NA MAHSUSI KWA AJILI YA KUCHANGIA PESA AMBAZO ZITANUNULIA GARI LA WATOTO WA TMH. MTEMBELEE MWANALIBENEKE TINA GEORGE UPATE ZAIDI
BOFYA HAPA
KUHUSU TANZANIA MITINDO HOUSE
BOFYA HAPA
BOFYA HAPA
KUHUSU TANZANIA MITINDO HOUSE
BOFYA HAPA
Nice photo. Aliepiga picha hii kweli ni mkali!
ReplyDeletegoood picture for the memory all the gayas happy dispite .....!
ReplyDeleteMerry Natale!!!.
Haki ya Mungu na Mtume namshukuru sana Mwenyezi Mungu nimeweza kuukwepa umasikini. Vinginevyo na mimi ningekuwa wa kupigwa picha na kuwapandisha chati wanasiasa, wanamitindo na makampuni ya mawasiliano na vinywaji na NGO mbali mbali.
ReplyDeleteNinamshuku ten Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha na umasikini na ushenzi wa wanasiasa, wanamitindo, makampuni na NGO.
Krismasi njema kweny nyote. Amen.