BALOZI WA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' FLAVIANA MATATA AKIWA PAMOJA NA WATOTO WANAOLELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' AMBAO USIKU WA KUAMKIA LEO WALIKUTANISHA WADAU DOUBLE TREE HOTEL JIJINI DAR KATIKA HARAMBEE YA KUWACHANGIA WAPATE GARI.....KATIKA TUKIO LA RED RIBBON FASHION SHOW, AMBAPO KULIKUWA NA FASHION SHOW PAMOJA NA DINNER SAMBAMBA NA MAHSUSI KWA AJILI YA KUCHANGIA PESA AMBAZO ZITANUNULIA GARI LA WATOTO WA TMH. MTEMBELEE MWANALIBENEKE TINA GEORGE UPATE ZAIDI
BOFYA HAPA

KUHUSU TANZANIA MITINDO HOUSE
BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nice photo. Aliepiga picha hii kweli ni mkali!

    ReplyDelete
  2. goood picture for the memory all the gayas happy dispite .....!
    Merry Natale!!!.

    ReplyDelete
  3. Haki ya Mungu na Mtume namshukuru sana Mwenyezi Mungu nimeweza kuukwepa umasikini. Vinginevyo na mimi ningekuwa wa kupigwa picha na kuwapandisha chati wanasiasa, wanamitindo na makampuni ya mawasiliano na vinywaji na NGO mbali mbali.

    Ninamshuku ten Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha na umasikini na ushenzi wa wanasiasa, wanamitindo, makampuni na NGO.

    Krismasi njema kweny nyote. Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...