Umoja wa Kiislam Uchumi,Elimu na Maendeleo (UKUEM) Inachukua fursa hii rasmi ya kutoa mualiko wa Public Lecture itakayo fanyika katika chuo kikuu cha SUZA hapo Vuga karibu na cinema ya Majestic siku ya Ijumaa ya tarehe 24 Dec 2010 saa 10:30 jioni Nyote manakaribishwa kuja kumsikiliza Dr Bilal Philips Usikose nafasi hii adhimu mara moja katika uhai wako. Maudhui kama inavyosomeka hapo chini. Shime tuhudhurie kwa wingi.
1630 | Lecture: Muslim World versus the West: now and the future | Dr. Bilal Philips | The general public, SUZA community (Muslim and non-Muslims) | SUZA |
wadau watakaohudhuria itakuwa vyema nasi mkitupatia kirichojiri ktk mdahalo huu,
ReplyDeleteALLAH AKUFANYIE WEPESI BRO KTK MAMBO YA KHERI UNAYOYAFANYA PAMOJA NA UNAYOYAFIKIRIA KUYAFANYA.
ReplyDeleteALLAH AKUFANYIE WEPESI BRO KTK MAMBO YA KHERI UNAYOYAFANYA PAMOJA NA UNAYOYAFIKIRIA KUYAFANYA.
ReplyDeletemie sijaelewa maana ya mada hii: MUSLIM WORLD VERSUS THE WEST... mtakao hudhuria tafadhalini mje mtufafanulie na sisi ni nini hasa Dr Bilal anataka kuufundisha umma wa watanzania MUSLIM na NON-MUSLIMS.
ReplyDeleteNot to be shallow but Dang!! Shekhe katua jana tu Bongo tayari jua limemchapa kuiva kote kumeisha, kachooka!...jua la bongo kweli balaa. LOL
ReplyDeleteMimi laiti kama ningekuwa nipohapo basi innshaALLAH ningelikwenda kumsikilizaa huyu jaaama mashaaALLAHU,ni mtaalamu katika masaala ya dini hii yetu ni msiba kama mtu yupo hapo znz na atashindwa kumuona DR BILAL P.ZAIDI UKITAKA KUMJUA WEWE TAPU ON U TUBE JINALAKE HAPO UTAMJUA ,tunaomba ndugu zetu mlio kuwepo huko muhudhurie kwa wingi ili mfunuke macho na muzidi kuitambua dini ya uislamu na aqida ya muislamu.
ReplyDelete