MAREHEMU MZEE IBRAHIM HAMIS CHIMGEGE MMOJA YA WATANGAZAJI WA MWANZO KABISA WA ILIYOKUWA RADIO TANZANIA DSM (RTD) SASA HIVI TBC (TANZANIA BROADCASTING CORPORATION)
SIKU, WIKI,MIEZI NA SASA MIAKA MINNE TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI GHAFLA TAREHE 28/12/2006, UMETUACHIA MAJONZI MAKUBWA SANA KILA TUKUKUMBUKAPO.
UPENDO MKUU ULIOTUPA UNGALI UKIISHI HAPA DUNIANI HATUTAUSAHAU KAMWE, LAKINI BADO TUNAAMINI MAOMBI YAKO KWA MUNGU BABA, YANAENDELEA KUTUBARIKI.
KATIKA UHAI WAKO ULIWAGUSA WATU WENGI SANA KWA WEMA NA UKARIMU WAKO, BADO WANAKUONGELEA NA KUKUKUMBUKA SANA.
UKWELI UMETUACHIA PENGO KUBWA AMBALO HALINA MTU WA KULIZIBA KAMWE.
UNAKUMBUKWA SANA NA WATOTO WAKO HAMIS, AMIRI, OMARI, MOHAMED NA SALWA NA WAJUKUU ZAKO WOTE, NDUGU, JAMAA, NA MARAFIKI WOTE.
` RAHA YA MILELE UMPE EEEH MOLA . . . . . . .`
-AMIN
Familia ya CHIMGEGE

............ anaitwa Ibrahim Hamis ! hapo mwisho mmemaliziaje? natumai mmenisoma!
ReplyDeleteHe was such a nice guy and a brother to all young people who used to works at coop college. He was the one who show me the way to achieve my coolege degree. May GOd Rest you in Peace my brother.Amen
ReplyDeleteMmungu amkhufirie mazambi yake na amuweke katika daraja la watu wema katika pepo yake
ReplyDeleteRaha ya milele ampe eebwana na mwanga wa milele amuangazie.
ReplyDeleteNdio nazipata hizi Habari maana nilikuwa sifaham kama mzee wetu ametangulia kwa Mungu.
Ila nimeshangaa hamkuorodhesha mtoto wa kike wa pekee wa marehemu ninaye mfahamu kwa jina la Mwadawa chimgege nayeye yupo wapi?
Ni mimi moja wa majirani tulio ishi nanyi pale Moshi. tumepotezana yapata miaka 20 sasa.