Makamu wa Rais wa Bunge la la Jumhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Georgine Madiko(kushoto), akimpongeza Spika Makinda wa Tanzania kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo wakiwa mjini Swakompmund, Namibia.Kulia ni Naibu Spika wa DRC Mhe. Marie Louise Mwange.
Kamati Tendaji ya Jukwaa la mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC PF) ikiwa katika dakika ya kuwakumbuka waolipoteza maisha kutokana na ugonjwa wa UKIMWI wakati wa ufunguzi rasmi wa makutano wa 28 wa Jukwaa hilo. (wa nne kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda).
Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 28 wa SADC-PF mjini Swakopmund, Namibia ukiongozwa na Spika wa Tanzania Mhe Anne Makinda

Picha ya pamoja ya wajumbe wa SADC-PF wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 28 mjini Swakopmund, Namibia.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Seriously, kuna baadhi ya waheshimiwa wanahitaji msaada kwenye upande wa chaguzi ya mavazi. Japo wapigwe sop-sop kidogo. Ama ni macho yangu mimi tu?

    ReplyDelete
  2. Terrible. mdau wa kwanza hujakosea. black to black= dark. plus design...loh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...