Hili ndilo libeneke la mahakama ya rufaa lililozinduliwa
leo na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa kuwa lengo ni kuwasaidia watanzania basi nadhani ni vyema website hii ikawa na option ya kusomeka kwa lugha ya taifa (Kiswahili) ili kuipa jamii yote nafasi ya kufaidika na yaliyomo. Nawakilisha!

    ReplyDelete
  2. NINAOMBA ANAYEFAHAMU SABABU YA NEMBO YA TAIFA KUBADILIKA RANGI ANIELEWESHE. NEMBO YA TAIFA ZINAZOONEKANA KWENYE PICHA KATI YA ILIYOPO JUU YA LANGO LA MAHAKAMA KUU ADAM NA EVA WAMEVAA NGUO ZENYE RANGI YA BULUU, HII NDIYO NEMBO YA AWALI TANGU MUUNGANO ULIPOANZA; NEMBO INAYOTUMIKA SASA RANGI YA BULUU IMEONDOLEWA HIVYO ADAM NA EVA KUONEKANA WAMEVAA NGUO ZA RANGI YA KIJANI, SASA SIJUI RANGI YA BULUU ILIKUWA NA TATIZO GANI IKAONDOLEWA?

    WAJIBU WALE TU WYE MACHO MAZURI A UELEWO WA KUTOFAUTISHA RANGI KWANI SIAMINI KUWA CHOMBO CHA JUU KIKAWA KILIKOSEA NA KWA MIAKA YOTE KOSA LISIONEKANE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...