Mdau Joseph Sangawe akiwa na rafiki yake Duke mara baada ya kulamba nondozz yake ya BA in Finance and Economics katika chuo kikuu cha State University of New York..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongereni saaaaaaaaaaaana wasomi wetu kwa kula nondo.

    ReplyDelete
  2. Big up kaka..sasa tunahitaji kuona hiyo nondoz inasaidia tanzania na c vinginevyo...classmate wako pale shaaban robert(olevl & alvl EGM)

    ReplyDelete
  3. RUDI HOME UTUMIKE SASA......Itakuwa ni laana kuitumia hiyo nondo kusafishia toilets huko.....hongera sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...