Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu Cosmas Mwaisobwa akitoa mada kuhusu vigezo na masharti ya mikopo ya elimu ya juu na utekelezaji wa shughuli za Bodi kwa mwaka 2010/11.Mada hiyo ilitolewa jana mjini Mbeya kwa maafisa habari ,elumu na mawasiliano kwa lengo la kuwalimisha wakati wa kikazi kazi cha maafisa hao.
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano kutoka Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Cosmas Mwaisobwa (kushoto)akitoa maelezo kwa Maafisa Habari Elimu na Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi chao juu ya uamuzi wa Bodi hiyo wa kuanza kukutumia Kampuni za Udalali kama vile Majembe kukusanya madeni kwa wadai sugu ambao wameshindwa kulipa kwa hiari mikopo ya elimu ya juu. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Clement Mshana.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mdau wa Elimu nchiniDecember 22, 2010

    Big up brother, continue to educate the Public on what HESLB does.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...