MARLAW, DIAMON NA ALI KIBA NDIO NYOTA WALIO JUU KATIKA MUZIKI WA KIZAZI CHA LEO YAANI BONGO FLEVA. WOTE WANA VIBAO LUKUKI AMBAVYO VIMESHIKA CHATI KILA VINAPOTOKA NA WOTE WAMESHINDA TUZO MBALIMBALI NA HAWAONESHI KUWA WATACHOKA HIVI KARIBUNI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Na wana damu ya kupendwa sana! me luv mtoto wa mbagaraaaaaaa......

    ReplyDelete
  2. Ama kweli Jogoo wa shamba hakosi kamba mguuni :)

    ReplyDelete
  3. Kati yao, hakuna hata mmoja mwenye wimbo wa maana na ndiyo maana hawashiki chati nje ya nchi.

    ReplyDelete
  4. Michuzi, unaanza kuwa mpuuzi sasa. Yaani hivi ndiyo vitu vya kutuwekea? Masuala ya hawa wanna bees ni ya vitoto vya miaka mwishoni mwa 90, na ndiyo maana unaona nyimbo zao zote ni za kulamba pipi na kufukuzia mademu. Unataka kuweka wasanii weka msondo, sikinde, academia, twanga, na nyinginezo sio upuuzi huu. Fleva ni kwa ajili ya watu wasiona mbele.

    ReplyDelete
  5. We Jay acha wivu wako.. Hawa washike chati ktk billboard inahusu nini..? muhimu hapa kwao na EastAfrica nzima hata Waafrica mashariki wenzao walio nje wanawakubali na wenyewe wanamafanikio wanajenga wanadrive mjini hapa sasa unataka nini zaidi? nyimbo sio kuimba matatizo tu.. na muhimu ni mauzo ndio maana kina Usher, Ne-Yo kina Rihanna wote wanaimba mapenzi na wanauza.. Hii ni BongoFleva ndio iko ktk Revolution ndio maana sasa hata R.Kelly anamtambua Ally Kiba.. Haters mpo siku zote na michuzi ataendelea Ku-post hizi habari ndio zinawasomaji wake wengi.. Sikinde, msondo ni generation inayophase out.. hakuna vijana au ni wachache sana wanaohudhuria maonyesho hayo...

    ReplyDelete
  6. Halafu katika wote hao Ali Kiba ndio yuko juu.

    Nilimuona hivi karibuni kwenye fainali ya Bongo Star Search nikakubali kijana ameiva.

    Wasanii wengi wa Bongo Fleva huwa hawawezi kutoa sauti ile ile kama inayosikika kwenye CD wakipewa maiki waimbe laivu.

    Ila siku hiyo Ali Kiba aliweza. Diamond na Marlaw walichemsha ... sauti zao za laivu na za kwenye CD ni tofauti.

    ReplyDelete
  7. Jay, nakubaliana nawe. Bongo fleva is not for Tanzanians, ni ujinga tu Wa kukopi black Americans na kubatiza jina la kitanzania. Si mnaona nyie wenyewe jinsi wasanii wa fleva wasivyodumu, anatoa singo yake leo atatamba kwa miezi kasha baada ya hapo utaona kwenye magazeti kaishiwa, oh leo kapigana na demu wake, basi ni vituko tu juu ya vituko.

    ReplyDelete
  8. Hadj Drogba "mwana chelsea"December 24, 2010

    SPECIAL REQUEST MICHUZI NAJUA WEWE NI MMOJA WA MASENETA WA MSONDO,TUNAOMBA SIKU MOJA UTULETEE MARLAW AJE AIMBE WIMBO WA FRESH JUMBE MZEE WA TOKYO JAPAN "AMA ZAKE AMA ZANGU" HIVI HUYU DOGO ANAJUA KWAMBA YEYE NDIO FRESH JUMBE MPYA KWA UPANDE WA SAUTI?YANI NI KAMA FRESH JUMBE BORN AGAIN.

    ReplyDelete
  9. Hilo li Jay mbona ni lipumbavu.This is 2010 acha kulala.
    Eti Msondo!.Acha vijana wa enjoy time yao.Mungu awabariki vijana wa Bongo wanao penda maendeleo ,siku hizi vijana wanatoka Bongo na Ndege siyo Kuzamia meli kama enzi zenu.Hilo bado lina lala msiliamshe.Bwege!.

    ReplyDelete
  10. Jay unayoyasema ni kweli, hawa wasanii wa fleva na mashabiki wao ni mbumbumbu tu; mfano wa wapenzi wa fleva ulio hai ni kama huyu anony asemaye this is 2010 Eti Jay kalala. Hivi anataka kuniambia bcs this is 2010 ni lazima kuiga wamarekani? Yaani hao wapuuzi wangejuwa jinsi black Americans wanavyochukia kuigwa na waafrika sijuwi watajisikiaje baada ya kujiona wajinga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...