Home
Unlabelled
NYOTA WANAOTAMBA BONGO KWA SASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na wana damu ya kupendwa sana! me luv mtoto wa mbagaraaaaaaa......
ReplyDeleteAma kweli Jogoo wa shamba hakosi kamba mguuni :)
ReplyDeleteKati yao, hakuna hata mmoja mwenye wimbo wa maana na ndiyo maana hawashiki chati nje ya nchi.
ReplyDeleteMichuzi, unaanza kuwa mpuuzi sasa. Yaani hivi ndiyo vitu vya kutuwekea? Masuala ya hawa wanna bees ni ya vitoto vya miaka mwishoni mwa 90, na ndiyo maana unaona nyimbo zao zote ni za kulamba pipi na kufukuzia mademu. Unataka kuweka wasanii weka msondo, sikinde, academia, twanga, na nyinginezo sio upuuzi huu. Fleva ni kwa ajili ya watu wasiona mbele.
ReplyDeleteWe Jay acha wivu wako.. Hawa washike chati ktk billboard inahusu nini..? muhimu hapa kwao na EastAfrica nzima hata Waafrica mashariki wenzao walio nje wanawakubali na wenyewe wanamafanikio wanajenga wanadrive mjini hapa sasa unataka nini zaidi? nyimbo sio kuimba matatizo tu.. na muhimu ni mauzo ndio maana kina Usher, Ne-Yo kina Rihanna wote wanaimba mapenzi na wanauza.. Hii ni BongoFleva ndio iko ktk Revolution ndio maana sasa hata R.Kelly anamtambua Ally Kiba.. Haters mpo siku zote na michuzi ataendelea Ku-post hizi habari ndio zinawasomaji wake wengi.. Sikinde, msondo ni generation inayophase out.. hakuna vijana au ni wachache sana wanaohudhuria maonyesho hayo...
ReplyDeleteHalafu katika wote hao Ali Kiba ndio yuko juu.
ReplyDeleteNilimuona hivi karibuni kwenye fainali ya Bongo Star Search nikakubali kijana ameiva.
Wasanii wengi wa Bongo Fleva huwa hawawezi kutoa sauti ile ile kama inayosikika kwenye CD wakipewa maiki waimbe laivu.
Ila siku hiyo Ali Kiba aliweza. Diamond na Marlaw walichemsha ... sauti zao za laivu na za kwenye CD ni tofauti.
Jay, nakubaliana nawe. Bongo fleva is not for Tanzanians, ni ujinga tu Wa kukopi black Americans na kubatiza jina la kitanzania. Si mnaona nyie wenyewe jinsi wasanii wa fleva wasivyodumu, anatoa singo yake leo atatamba kwa miezi kasha baada ya hapo utaona kwenye magazeti kaishiwa, oh leo kapigana na demu wake, basi ni vituko tu juu ya vituko.
ReplyDeleteSPECIAL REQUEST MICHUZI NAJUA WEWE NI MMOJA WA MASENETA WA MSONDO,TUNAOMBA SIKU MOJA UTULETEE MARLAW AJE AIMBE WIMBO WA FRESH JUMBE MZEE WA TOKYO JAPAN "AMA ZAKE AMA ZANGU" HIVI HUYU DOGO ANAJUA KWAMBA YEYE NDIO FRESH JUMBE MPYA KWA UPANDE WA SAUTI?YANI NI KAMA FRESH JUMBE BORN AGAIN.
ReplyDeleteHilo li Jay mbona ni lipumbavu.This is 2010 acha kulala.
ReplyDeleteEti Msondo!.Acha vijana wa enjoy time yao.Mungu awabariki vijana wa Bongo wanao penda maendeleo ,siku hizi vijana wanatoka Bongo na Ndege siyo Kuzamia meli kama enzi zenu.Hilo bado lina lala msiliamshe.Bwege!.
Jay unayoyasema ni kweli, hawa wasanii wa fleva na mashabiki wao ni mbumbumbu tu; mfano wa wapenzi wa fleva ulio hai ni kama huyu anony asemaye this is 2010 Eti Jay kalala. Hivi anataka kuniambia bcs this is 2010 ni lazima kuiga wamarekani? Yaani hao wapuuzi wangejuwa jinsi black Americans wanavyochukia kuigwa na waafrika sijuwi watajisikiaje baada ya kujiona wajinga.
ReplyDelete