Sherehe hiyo pia itakuwa nafasi mwafaka ya kumkaribisha rasmi na kumtambulisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alex C. Massinda. Wanachama na Watanzania wote wa Ottawa na kwingineko Canada mnakaribishwa. Waweza kuwasiliana nasi kwa namba 613 262 8677.
NYOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tumesoma hatukuelimika.

    Mbona watanzania wanakuwa wapumbavu hivi. Uhuru wa Tanzania? Kwani kuna siku Tanzania ilitawaliwa? Ilitawaliwa na nani? Huo uhuru ulipatikana kwa njia gani? Watu walipigana au walidai kwa njia za amani? Katika kikao kipi na wapi? Westminster au wapi? Nani alikuwa Rais wa mwanzo wa Tanzania? Alitokea chama gani? nani alikuw Waziri Mkuu? Mwisho tunaomba document amabya Waziri wa makoloni wa Uingereza alisaini kwa niaba ya Malika kutoa uhuru wa Tanzania.

    Mtakaohudhuria naomba maswali haya pia mumpe Mh Balozi. January 12 pia tutasherehekea Mapinduzi ya Tanzania!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...