Jumuiya ya Watanzania Italia inawakaribisha wote katika mkesha wa NEW YEAR tarehe 31/12/2010 .sherehe imeandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Italia tawi la MODENA, Kwa hiyo mnuso utafanyika mjini Modena.

Kwa wale wanaotoka mbali ya Modena na Bologna tafadhali wasiliana na uongozi kwa ajili ya huduma za malazi na usafiri. Sherehe zitaanza saa moja jioni mpaka kuchee!!
Info. contact:
Tel. +39 340 3475405 (katibu wa tawi)
Mwenyekiti wa tawi la jumuiya ya Watanzania Italia (MODENA) ndugu PASCAL NYALUSI anapenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wote na anawatakia sikukuu njema na ya usalama.
HAPPY NEW YEAR!!2011

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...