Rais wa FIFA Sepp Blatter akitangaza Urusi kama washindi wa kuandaa kombe la Dunia la Mwaka 2018
Prince William wa Uingereza akiwa amejawa na huzuni baada ya Uingereza kupigwa bao na Urusi katika kinyanganyiro cha kuandaa kombe la Dunia mwaka 2018
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
waingereza wanalia na kusaga meno.Lol
ReplyDeleteNitakuwa nafuatilia nione waandaaji watalishughulikia vipi suala la vuvuzela, ambalo nililiongelea hapa.
ReplyDeleteLeo nchi mbili zimechaguliwa kuandaa kombe la dunia 2018 na 2022 lakini ya pili hujaitaja. QATARrrrrrrrrrrrrr
ReplyDeletewaache tu ubaguzi sasa hao warusi, sio tunakwenda huko wakatutoe meno yetu.
ReplyDeleteTanzania will be the next host. Let's hope.
ReplyDeletehahahaha this shows you can buy a world cup,Why it has gone to oil countries?FIFA FIFA,mmmmmmmmm!!!!!
ReplyDeleteI am daughting what women should wear in Qatar,just imagine the high temp.people need to swim,need some bears after winning,vuvuzera's parting and so on
ok let us see ,i am sure many people will not go to Qatar better to watch games on the TV
TAnzania lini ?
ReplyDeletewe msemaji wa mwisho hayo tena yako tunataka kuangalia mpira sio mambo mengine na watu wengi sana watakwenda qatar naomba ukipata nafasi ukatembee qatar ujionee
ReplyDelete