Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro, Hajjat Mwatumu Malale ( watatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Chuo Kikuu hicho na wageni wengine waalikwa wakati wa mahafali ya tatu
Sehemu ya wahitimu waliokula nondozzz Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro, wakati wa mahafali ya tatu yaliyofanyika chuoni hao wikiendi hii

Wahitimu wa Shahada ya Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro , Ashura Ally ( kulia) akipongezwa kwa kuhitimu masomo yao na Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, Hajjat Mwatumu Malale ( kati kati) , akiwa pamaoja na mhitimu mwenzake Deborah Mallaba ( kushoto) , wakati wa mahafali ya tatu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika Chuonihapo. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. JK wahi uteuzi hapo. Na sisi tunakula nondo, jamani si mnacheki? Nasikia chuo hiki Afrika kinashika nafasi za juu kichizi, hata UDSM haioni ndani. Pigeni kelele sasa.

    ReplyDelete
  2. hongera wahitimu. yaani picha na wenyewe wametulia ile mbaya. yote ni nuru mashallah.

    ReplyDelete
  3. Huu ni mwanzo mzuri baada ya kipindi cha ukoloni miaka 70 na uhuru miaka 50. Jumla 120 ya usingizi. Ukoloni mbaya saana.

    ReplyDelete
  4. Kuna anaejua official website ya chuo hiki? ahsanteni sana

    ReplyDelete
  5. sister ashura hongera sana, allah akupe werevu zaidi. nakumbuka jitahada zako tangu haramain. hongera sana kwa mwanamke kijikomboa.
    nduguyo from jp.
    atanurdin@ymail.com

    ReplyDelete
  6. aaaaaaaammmmmmm. maneno yamenipotea..but...

    ReplyDelete
  7. Alhamdullah, haki ya mtu haipotei, maneno ni mazito naachia hapa, kwa kuwaombea wahitimu wote wafanikishe ndoto zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...