Home
Unlabelled
Da'Subi ndani ya nyumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, huyo dada yetu tunamtafuta sana kwenye Wavuti katukimbia. Tulikuwa tukimpenda sana. Wavuti sasa inakufa jamani
ReplyDeleteDu Mimi nakukubali kumbe bado mdogo hivi. Sijui kuna mtu keshawahi?
ReplyDeleteAnaishi Marekani kweli? mbona hana muonekano wa makeke wa wenzetu waishio majuu!
ReplyDeleteDada hongera kwa kuendeleza blogu ya wavuti.
Wewe anony wa Sat Jan 15, 12:02:00 PM 2011 unauliza kama kuna mtu kashawahi? ufafanue una maana kashamchumbia au kumuoa? au kashamchakachua?
ReplyDeleteAnkal, nimelipenda hilo shati lako naomba kwa huu mwaka 2011 ikibidi lirithi ka tshirt ketu ka trade mark ya globu ya Michuzi.Shati liko bomba sana na limekukaa vizuri.
ReplyDeleteNawakilisha.
Mdau wa Ukerewe(UK)
Ankal
ReplyDeleteNimefurahi sana kukuona hapo na Da' Subi. Yawezekana wadau wengi hawajui kwamba wengi tunaoendesha viblogu vyetu tuna deni kubwa kwenu nyinyi wawili, kwa jinsi mnavyotufundisha kufanya yenye kufaa na kutukosoa pale tunapokosea.
Huwa nawaeleza watu jinsi Ankal na Da'Subi mlivyowahi kunishukia kwa ukali, pale mlipoona mapungufu kwenye blogu yangu. Huu ni moyo ambao nimeuona kwenu, na napenda kutoa shukrani za dhati. Naomba Mungu aendelee kuwabariki.
Kuhusu "wavuti," Da' Subi alitufahamisha kuwa atakuwa mbali kwa kipindi. Ndivyo ninavyokumbuka, kwa hivi sina wasi wasi.