Home
Unlabelled
KONGAMANO LA KATIBA UDSM JUMAMOSI HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani nimetamani kweli kuhusika kwenye hili kongamano.
ReplyDeleteWaandaaji watu wa mikoani mnatufikiriaje?
Safi UDSM. Tuleteeni pia Kongamano la Kuutokemeza Ufisadi na Mafisadi!
ReplyDeletewekeni live kwny tv hilo kongamano ili nasi wa mikoani tupate kufatilia kwa karibu
ReplyDeleteI m proud of you UDSM. Hekima ni uhuru
ReplyDeleteMdau anayelalamikia kuutokomeza ufisadi na mafisadi ni kwamba iwapo mchakato wa kupata katiba mpya utakuwa wa dhati hapana shaka tutapata katiba muafaka ambayo itakuwa ndio nguzo ya kutokomeza ufisadi. Kumbuka ufisadi ni kama ka-mfumo (kleptocracy) kalikojificha ndani ya mfumo halali wa dola. Katiba ya sasa inatoa mwanya kwa dola halali kukakumbatia ka-mfumo hako! Ukipata katiba nzuri, umepata dawa ya ufisadi. Kwa hiyo unga mkono harakati za kudai katiba muafaka mengine yatafuata mkondo.
ReplyDelete