Leo ni miaka miwili tangu ulipotutoka tarehe 20/01/2009
na mazishi kufanyika hapa Dar-es-salaam tarehe 23/01/2009.
Upendo wako na busara zako katika kuiongoza Familia na ndugu umetuimarisha na kutupa matumaini na amani katika maisha yetu.Leo hatupo na wewe kimwili,lakini ni dhahiri siku zote upo nasi kwenye nyoyo zetu daima.
Unakumbukwa na Mke wako,Watoto wako,Wajukuu wako,Ndugu,Jamaa na Marafiki wote.
Mungu Mwenyezi tunamuomba aendelee kukubariki na kuiweka Roho yako mahali pema.
AMINA.

Pole sana, Baba Vieira,ni mapenzi ya Mungu
ReplyDelete