Habari za leo wanalibeneke wa Globu ya jamii kwanza tunapenda kuwapa mkono wa heri ya mwaka mpya 2011.Tunapenda kuwakaribisha nyote katika Web Blog
yetu inayo jishughurisha na Sanaa za aina zote kv Muziki,maigizo nk, kwa ujumla mengi Mtayaona mtakapo tembelea Tovuti yetu. Pia tunaomba ushirikiano wenu kwani tunaamini sisi kama sisi hatujitoshelezi bila nyinyi wadau wetu. tunapenda kutanguliza shukurani zetu na karibuni sana.

WAKO KWA NIABA YA KAMPUNI
FREDY NJEJE
PROJECT AND DESIGN MANAGER
UMABE ARTS COMPANY LTD
Jina la Blog: UMABE ARTS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...