Masoud Kipanya

Kwa kipindi cha takribani miaka 5 iliyopita, kumekuwa kukianzishwa Reality TV Shows mbalimbali nchini kwetu. Miongoni mwa shows hizo ni pamoja na ile ya Maisha Plus ambayo kwa kipindi kifupi tu tayari ilikuwa imejizolea mashabiki lukuki.Bila shaka mafanikio hayo yalitokana na ubunifu na uhalisia uliombatana na kipindi hicho.


Hata hivyo Maisha Plus ni kama vile imepotea ghafla.Kulikoni?Baada ya kupata maswali kadhaa toka kwa wasomaji mbalimbali na hususani mashabiki wa Maisha Plus,BC ilimtafuta Masoud Kipanya ambaye ndiye mwanzilishi na mratibu mkuu wa Maisha Plus ili kupata ufafanuzi kuhusu hatma ya kipindi hicho.Haya hapa mahojiano mafupi na Masoud Kipanya(KP)

Kwa habari kamili na mahojiano haya na KP nenda Bongo Celebrity
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KP,Mambo vipi Mzee sema kweli, sisi wote watu wazima sema tu jamani maji yamezidi unga hauwezi kupika ugali wala uji.Kama vipi KP na BONDA fanyeni alambee utapata msaada tu poa kaka maandalizi mema ya maisha Plus.

    ReplyDelete
  2. KP, Vipi Babu yupo? Mpe Big up!!

    ReplyDelete
  3. big up for maisha plus...kuna mtoto wangu anapenda sana kuchora na anajitahidi anataka kuonana na wewe nilikuwa naomba appointment na wewe KP mi yaninay01@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...