Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Baadhi ya Watalii wanaotembelea Hifadhi ya Taifa katika Mbuga za Wanyama Serengeti, alipokutana nao kwenye kituo cha kulipia Wageni wanaotaka kuingia kwenye Mbuga za Wanyama katika kituo cha NABIl Mkoani Mara wakati aliposimama kwa muda alipokuwa akielekea katika Hifadhi ya Taifa Ngorongoro Mkoani arusha leo.Picha na Amour Nassor VPO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nampa big up mheshimiwa na wakeze inapendeza kweli kweli sio wengine mnawaficha wake zenu kapuni halafu unatembea kwenye matembezi na mmoja nakupongeza sana mheshiwa kwa kuwajali wake zako inapendeza sana na wengine waige mfano wako sio kuficha ficha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...