Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Charles Kitwanga akizungumza na maafisa wa kampuni ya simu ya TTCL wakati alipotembelea kampuni hiyo na kuzungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam.
Viongozi wa Kampuni ya simu ya TTCL wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Charles Kitwanga wakati alipowatembelea na kuongea nao leo katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es salaam kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Said A. Said, Mkuu wa Idara ya Fedha na Ununuzi Bw. Shabaan Mrisho, Mkuu wa Masoko na Mauzo Ernest Nangi na Mkuu wa Uendeshaji wa Mkongo wa Taifa (NICTBB) Bibi Gilder Kibola.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...