Namtafuta ndugu yangu huyo pichani (juu), anaitwa Waafah. Picha hii niliachiwa na marehemu baba yake. Najua aliondoka siku nyingi hapa Dar kwenda kuishi Marekani, ila nasikia mama yake bado anaishi hapa hapa Dar. Yeyote mwenye kumfahamu tafadhali naomba anijulishe email yangu ni
allysingoi@gmail.com
ntashukuru wadau wa blog hii
allysingoi@gmail.com
ntashukuru wadau wa blog hii
Mdau kwa muonekano hii picha ya zamani.
ReplyDeleteHujatoa jina kamili la mhusika, katika ulimwenhu wa sasa unatakiwa kuttoa details za kutosha ili usaidiwe. Ni mtazamo tu
Uliachiwa picha na baba yake ili uifanyie nini? na wewe ni nani yake? Watanzania sisi sote ni ndugu, ndio utamaduni wetu. Ningekushauri uweke details za kutosha, mfano hiyo picha ni ya mwaka gani, wewe ni nani na huko wapi, huyu ni ndugu yako kwa jinsi gani, dada, binamu, mpwa n.k. halafu jina la mama yake na labda sababu ya kumtafuta. Nafikiri uweke tangazo lingine na useme huyo baba yake aliyekuachia picha alikuwa nani (jina) na kama mlikuwa na uhusiano (baba, mjomba. Kila la kheri
ReplyDeletemwenye kuomba msaada tutani nimetuma email nijibu tuwasiliane
ReplyDeleteKUNA MASWALI MENGI YA KUMUULIZA MTAFUTAJI.NI VYEMA UKAJIU MASWALI YALIYOTANGULIA KAMA UNATAKA MSAADA WA KWELI. HAKUNA MTU ATAKAYE KUKUSAIDIA KIREJA REJA NAMNA HII NA MWISHO WAKE UKAWA MBAYA KWA DADA YETU ENDAPO ATAPATIKANA.PLEASE BE SERIOUS.
ReplyDelete