Siku ya Ijumaa ya Januari 7, 2011 bendi maarufu ya mziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU wa Ughaibuni yenye maskani yake huko Ujerumani, iliuweka muziki wa dansi la bongo katika historia ya aina yake pale ilipofanikiwa kuwachanganya washabiki wa mziki nchini Serbia,katika maonyesho ya "Kunstendorf film and music festival" yaliofanyika nchini serbia(zamani Yugoslavia).
kiongozi wa bendi hiyo Ras Makunja aka kamanda wa FFU na kikosi chake waliwasili nchini Serbia siku ya 6.Januari 2011 na kupokelewa kwa shamra shamra kubwa zilifungamana na msongamano wa washabiki na mapaparazi.
Siku ya siku ilipotimia, hususan milango ya saa 6.00 usiku Kamanda Ras Makunja alikiongoza kikosi chake jukwaani na kuanza libeneke. Dakika chache tu mdundo wa bongo dansi uliwachanganya akili washabiki na kujikuta wamepagawa.
Wanamziki wa bendi hiyo akiwemo yule mpiga solo maarufu Mr.Chris-B aka "Mshenzi" walikuwa na kazi moja tu! nayo ni kuwatia kiwewe washabiki.dansa wa bendi mwanadada Bedi la Bella bella alikuwa akienda sambamba na Kamanda katika kushambulia jukwaa.
Tamasha hilo liliudhuriwa na watu wa aina mbali mbali wakiwemo viongozi wa juu wa serikali ambao nao walijikuta wamejichanganya na kusababisha kazi

nzito kwa walinzi wao!
onesho hilo lillirushwa hewani na TV za Serbia,Bosnia,Poland na St.Petersburg.

Kamanda Ras Makunja alifanya mahojiano na TV hizi na kuwaahidi kuwa Ngoma Africa band imekubali mialiko mingine ya kutumbuiza nchini humo,Poland,Bosinia,St.Petersburg.Ngoma Africa band imewateka nyara washabiki wa mziki wa nchi hizo kwa kutumia mdondo wa "Bongo Dance" na washabiki hao wamejikuta wamepandwa na mzuka usio sikia dawa...
Kitendo cha bendi hiyo kukubali kutumbuiza nchini Serbia,kimechukuliwa kuwa ni cha kishujaa na bendi hiyo inafananishwa sawa na wapiganaji wa msituni!

Misheni ya Ngoma Africa band kuutangaza mziki wa Tanzania imefanikiwa
wasikilize hapa
www.reverbnation.com/ngomaafrica
www.reverbnation.com/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...