
Katika kuhakikisha tunafikisha maarifa kwa jamii kwa njia mbalimbali,timu nzima ya AfroITimeanza kutengeneza Poscast zinazohusu masuala ya ICT,huu ni mwanzo ambapo siku zinavyosonga tutakuwa na mambo mengi tofauti huku tukiwashirikisha wadau wengi zaidi kutoka katika vitengo mbalimbali ambapo ICT ina mchango mkubwa.Kushiriki kwenye Podcast tuandikie kwenye podcast@afroit.com . 

Mimi si mjuzi wa podcast ila ningelipenda kusikiliza huduma zenu, jee mnaweza kuniongoza ni namna gani ninaweza ku-dowload na nina hitaji kuwa na vifaa gani ili kuweza kusikiliza? ahsanteni sana.
ReplyDeleteP/S hingera kwa jitihada zenu nzuri sana.
mtanzania