Home
Unlabelled
Picha rasmi ya Rais wa Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimeipenda hii picha imetulia. 2015 tutaiweka na sisi huku!!
ReplyDeletePicha nzuri, mwanzo mzuri sana wa awamu yako ila baadhi ya mawaziri wako na manaibu wao hawako kujibu masuali vyema barazani. Naibu wako ameomba kurudiwa swali!!!! Naona pia wengine wanatoa majibu ya mausili ya nyongeza kwa kubahatisha/ ku guess tu ama kukurupuka. Tunashauri kuwe na umakini na umahiri mkubwa kwa watendaji wako Boss!!
ReplyDeleteMzenj
Nice picture. 21st century cultural reforms!? traditionally, African leaders (esp. males) don't put on a cheesy smile (American style)on their official portraits.
ReplyDeleteDhu Kale ka mzuzu siku hizi kakaondoa?
ReplyDeletehuyu ndio mzee wa pamba, wengine wanalazimisha tu.
ReplyDelete