Hii ndio picha rasmi ya Rasi wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Ma;pinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nimeipenda hii picha imetulia. 2015 tutaiweka na sisi huku!!

    ReplyDelete
  2. Picha nzuri, mwanzo mzuri sana wa awamu yako ila baadhi ya mawaziri wako na manaibu wao hawako kujibu masuali vyema barazani. Naibu wako ameomba kurudiwa swali!!!! Naona pia wengine wanatoa majibu ya mausili ya nyongeza kwa kubahatisha/ ku guess tu ama kukurupuka. Tunashauri kuwe na umakini na umahiri mkubwa kwa watendaji wako Boss!!
    Mzenj

    ReplyDelete
  3. Nice picture. 21st century cultural reforms!? traditionally, African leaders (esp. males) don't put on a cheesy smile (American style)on their official portraits.

    ReplyDelete
  4. Dhu Kale ka mzuzu siku hizi kakaondoa?

    ReplyDelete
  5. huyu ndio mzee wa pamba, wengine wanalazimisha tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...