Home
Unlabelled
USHAURI WA BURE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana Michuzi. Heshima yako ndugu yangu. Baada ya salamu, hivi kweli kulikuwa na sababu ya kuweka gari hilo kwenye blogu yako? Kwa nini umeamua kabisa kuweka license plate ya mtu kwenye uwanja wa wazi hapa? Namuelewa huyu zumbukuku aliyeandia kwenye vumbi la gari, ndiyo yeye ni zumbukuku, sasa wewe uliyeweka hadharani hii ulikuwa unafikiria nini? Hasa hapo katika kutanganza hiyo number plate? Si uungwana ndugu yangu najua unaelewa hiyo labda ulisahau.
ReplyDeleteEbu acha kumaind vitu vidogo kwani ni lako? we kwani linauathiri kivipi? watu wengine kila saa roho ngumu tu kama wanakamuliwa kijipu uchungu, uwe unachekacheka kuongeza siku na kupunguza stress we mdau hapo juu!
ReplyDeleteMDAU WA KWANZA NAKUBALIANA NA WEWE,HATA MIMI SIJUI MISUPU ALIKUWA ANAFIKILIA NINI KUWEKA HILO GARI KWENYE GLOB YAKE.SOEMTIMES KAMA HAUNA VITU VYA KUWEKA NI BORA BLOG IKAE TUPU.
ReplyDeleteMDAU oslo ,Norway