Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana akiwaonyesha kitabu chenye Alama za Taifa vijana 11 watakaoondoka nchini kuelekea Japan kushiriki mpango wa vijana wa Meli ya Kimataifa na kuwataka kutumia muda wao kipindi chote cha miezi 3 watakapokua Japan kuitangaza Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bi. Joyce Shaidi na Kiongozi wa msafara wa vijana hao Bw.Olav Mkopi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana akimkabidhi Vitabu vyenye alama za Taifa Bw. Olav Mkopi, kiongozi wa vijana 11 watakaoelekea nchini Japan na kukaa kipindi cha miezi 3 Kushiriki Mpango wa Vijana wa Meli ya kimataifa utakaowashirikisha vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani.
Vijana kutoka Tanzania watakaoondoka nchini kushiriki Mpango wa Vijana wa Meli ya kimataifa uliopangwa kufanyika nchini Japan wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bi. Joyce Shaidi na Mkururugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana(katikati) leo jijini Dar es salaam.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tunawakaribisha sana,waambie wabebe makoti maana ndo kinachanganya.

    ReplyDelete
  2. Tena mkienda msepe hukohuko si mnaona mambo ya mgao umemem bin mwater yanavyodatisha? na mambo mengine mengi ya maudhi huko home sweet!!

    ReplyDelete
  3. Nawatakia kila la heri

    Angalieni sasn na mjitahisi kudumisha mila za kitanzania,,i hope makoti mumeyabeba,,,,

    Kuweni makni mkiw akweney nyumba za watu mkifika,,msionyeshe njaa zenu sana,,,jitahididni kujenga net work nzuri n avijana wenzenu,,japo it will a time kuja kumature,,i mean kuja kulipa

    Msiwe wanyonge sana,,mjichanganye na wenzenu,,kwenye kula msikae sehemu moja watanznia wote,,jichanganyeni na wenzenu,,kuweni wadadisi,,,kuwni wajanja,,msishangae shangae sana,,,mana wengi wenu najua mtakuw ani wageni kwa nchi ile,,kuweni makini mnapokuw acall of port,,someni instruction vizuri,,msipotee,,jitahidini kwenda na muda

    Any way nayasema haya yote kwa sababu nimeishi japan,,na nilishawahi kuhudhuria program hii,,naijua jinsi ilivo,,na hayo ndio mambo yalivo,,,il amtakula bata kimtindo,,its more of relaxing but no monetary gain,,kw ahiyo kw awale wenzangu na mimi msidhani mtarudi na magari,,ila create nert wok kw aajili ya huko baadae

    Mimi ths year naenda PHD kwa ajili ya mchongo wa MELI

    Poa mazee

    Mama Shaidi mungu akubariki na akupe moyo wa kupend avijana w akitanzania

    Truly your a mother,,God bless you,

    Mama Mtenga na idara nzima ya vijana BIG UP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...