Meneja wa bia ya Safari Lager, Fimbo Butallah (kulia) akielezea jinsi kampeni ya kumpata Shujaa wa Safari Lager siku ya ufunguzi wa kampeni hiyo.kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL,Edith Mushi.(Picha na Maktaba ya Globu ya Jamii)


Akielezea utaratibu wa kupiga kura; Meneja wa bia ya Safari,Fimbo Buttah alisema“Baada ya kufuatilia mambo waliyofanya mashujaa hawa watatu walioingia fainali, wananchi watatakiwa kumpigia kura shujaa wanayetaka atwae tuzo hii ya “Shujaa wa Safari Lager”, line za kupiga kura zitakuwa wazi kuanzia leo hii hadi tarehe 21 Januari.

Na jinsi ya kupiga kura ni kama ifuatavyo;

Ingia katika sehemu ya ujumbe katika simu yako, andika neno Shujaa acha nafasi, andika herufi inayomwakilisha shujaa wako (A kwa Mercy Shayo,B kwa Paul Luvinga na C kwa Leonard Mtepa) kisha tuma kwenda namba 15310”. Utapata ujumbe kukuthibitishia kuwa kura yako imepokelewa.

Alisema huu ni muda kwa watanzania kuweza kufuatilia kwa ukaribu taarifa za mashujaa wetu na kumpigia kura yule uonae anafaa kuwa shujaa wa Tuzo ya safari lager kwa mwaka 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...