Mshambuliaji wa Azam FC, Mrisho Ngasa akichuana na beki wa JKT Ruvu, Damasi Makwaya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru. Azam imeshinda 2-0.
Mshambuliaji wa Azam, Ibrahimu Chimwanga (shoto) akitafuta mbinu za kumtoka kiungo mshambuliaji wa JKT Ruvu, Mwinyi Kazimoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru. Azam imeshinda 2-0. |
africa ni africa tu hizo jezi zinakaribia kufanana lakini wameruhusiwa kuchezea inaonekana hakukuwa na jezi za ziada ili wasifanane
ReplyDeletejapokuwa kuna wengine watasema zinatofautiana lakini tofauti yake sio kubwa maana zote zina njano na zote zina bluu kwa huku wenzetu wa majuu hata zikifanana rangi moja tu wanabadilisha.
najisemea tu just maoni.
Ndio maana tunapaita AFRICA na kwingine panaitwa majuu au vipi
ReplyDelete