MPENDWA NDUGU YETU SAIDATY AYOUB MFILINGE LEO TAREHE 21 FEB 2011, UMETIMIZA MWAKA MMOJA TANGU UTUTOKE KATIKA DUNIA HII.HAKUNA SIKU IPITAYO KWETU BILA KUKUMBUKA KWA UPENDO NA UKARIMU ULIOKUWA NAO KWA NDUGU ZAKO WOTE PAMOJA NA JAMAA ZAKO WOTE.
UNAKUMBUKWA SANA NA MAMA YAKO AMBAYE UMEMUACHA NA MAJONZI MAKUBWA SANA TANGU ULIPOONDOKA HAPA DUNIANI. UNAKUMBUKWA PIA NA NDUGU NA JAMAA ZAKO WOTE.
MWENYE EZI MUNGU AKUWEKE MAHALA PEMA PEPONI,
AMINA.
Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi..kwani sisi wote ni wa Allah nasi kwake tutarejea.
ReplyDeleteMwenye ezi Mungu Amuweke Mahala Pema Peponi, yeye ametangulia nasi tuko nyuma yake.
ReplyDeleteUpumzike kwa amani Datty...
ReplyDeleteMay you rest in peace my dear wifi. I miss you so much and so is your brother and nephew. You will always be in our hearts.
ReplyDelete