
Mwakilishi mkaazi wa UNOPS nchini Sierra Leone Bw. Omary Mjenga akiwa na mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Sierra Leone Maj. Gen. Yira Koroma (wa tatu toka shoto) baada ya mazungumzo yao kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za wanajeshi na barracks, mradi utakaosimamiwa na UNOPS. Wanne ni afisa jeshi wa UN Bw. Chris Atere kutoka afisi ya umoja wa mataifa ya Sierra Leone UNIPSIL na maafisa wengine waandamizi.
Kwa Gadafi kuna chemka ...Mtoto wake antaongea live muda si mrefu...Utawala wa wakurishishana...Kwa nini mtoto aongee yeye ni nani? Kwani baba akiwa raisi ndio mtoto aongee????Damn kingship
ReplyDeleteHongera Kijana Mujenga kwa majukumu mapya huko Umoja wa Mataifa. Tunakutakia kila la kheri. Tunakuomba uchape kazi na usiendekeze popularity za kwenye mitandao;
ReplyDeleteRafikizako wa Arusha