Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Isidore Shirima (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mkuu wa idara ya kilimo wa NMB Bw. Robert Paschal(kulia) wakati mkuu huyo alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya bidhaa za wakulima wa kahawa na wanunuzi katika hotel ya Ngurdoto jijini Arusha wikiendi hii. Shoto ni afisa uhusiano wa NMB nchini B. Shyrose Banji
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...