Jumuiya ya watanzania wasomao Acharya institutes Bangalore india. inatoa salam za rambirambia kwa ndugu,jamaa, mafariki na watoto walio athilika na ajali ya mlipuko wa mabomu yaliyo tokea GONGO LA MBOTO.
Jumuiya yetu ya wanafunzi wakitanzania wasomao Acharya tumepokea janga hili kwa masikitiko makubwa sana, Tunawapa pole ndugu zetu wote watanzania walioathirika kwa namna moja au nyingine. kwani tunaimani matatizo ya ndugu zetu ni yetu.
Tunapongeza serikali na viongozi wote,mashirika mbalimbali na watu binafsi kwa kujitolea kuwasaidia watanzania wenzetu katika kipindi hiki kigumu.
Mwisho tunawatakia kupona haraka wote waliopata majeraha na tunawaombea waliopoteza maisha walazwe mahala pema peponi AMINA.
MUNGU IBALIKI TANZANIA.
Hamisi S. Fupi
Mwenyekiti TASAA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...