Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Waswahili wengi Kiswahili kinawapiga Chenga Nyoko ni kiswahili maana yake ni mamayako kama vile neno Mwana ni Mtoto.

    ReplyDelete
  2. hahahaha anony wa 04.06pm umenifungua macho. mie najua hilo neno linatumika kutukana mtu....

    ReplyDelete
  3. Tukumbuke pia kuwa kuna maneno mengi ya lugha mbali mbali ukiyalinganisha na kiswahili yanakuwa matusi,kwa hiyo tuyachukulie maneno haya kulingana na sehemu au nchi husika,kwa mfano mimi mtanzania niishie Japan,nilipokuwa mgeni niligundua kuwa kuna maneno mengi ya kijapani yanayofanana na kiswahili,na baadhi ya hayo huko kwetu ni matusi,ndipo nikajakuzoea na kuona ni kawaida tu kwa kuwa maneno haya yanatumika huku tuliko,maaneno kama "kumamoto"jina la mji fulani mkubwa kusini mwa Japan,au jina la mnyama bear(dubu)kwa kijapani anaitwa "kuma"nk,kwa hiyo hata hiyo nyoko huko uganda ni neno la kawaida tu na si tusi kama tujuavyo waswahili.
    mtoa maoni Tokyo,Japan.

    ReplyDelete
  4. hiyo ni kenya, ambako wanatumia cuntie and subcounties badala ya maregion na mawilaya etc. hiyo nyoko haina maana mbaya kama mnavyotaka kuonesha.

    hivi ukienda kule libreville gabon ukaambiwa 'mboro/mbolo mwanamboka' utajibu vipi? ni salaam tu hiyo bro.

    hakuna chochote cha ajabu hapo

    ReplyDelete
  5. Mwakani nitahamia Nyoko

    ReplyDelete
  6. Ni kukumbusha tu kuwa DRC,(Congo)pia kuna kijiji kimoja kiitwacho"Mavuzi"nakumbuka hata ankal aliwahi kutembelea kujiji hiki na akaonekena akipozi ktk bango lionyeshalo jina hili,kama ni kiswahihili ???utajaza mwenyewe.maajabu ya lugha haya !!!.kijiji kuitwa mavuzi !!!
    asanteni.

    ReplyDelete
  7. Nyoko haimaanishi 'mama' ila NYAKO ndio linamaanisha 'mama'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...