Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki wa Benki ya Azania Togolani Mramba (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengine yenye thamani ya sh. milioni 5/= kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Saidi Mecki Sadiki ikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Waathirika wa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Azania wakiwa na baadhi ya mahitaji katika Ofisi ya Mtendaji Ukonga kama msaada kwa waathirika wa mabomu Gongo la Mboto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...