
Mh Lukuvi alibainisha kuwa serikali haina mpango wa kuzuia tena huduma hiyo kwa kuwa inahusisha imani za watu." Serikali haina mpango wa kuzuia huduma hiyo na badala yake imeunda kamati itakayofanya kazi kwa kushirikiana na mchungaji huyo ili kuhakikisha jamiit inapata huduma hiyo kwa utaritibu unaostahili"alisema Lukuvi.
Mh. Lukuvi alisema kuwa kamati hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambayo imeanza kazi jana imezuia magari yote yanayokwenda kijijini hapo ili kutoa nafasi kwa Mchungaji Mwasapila kuhudumia wagonjwa waliopo hadi idadi yao itakapopungua.
Mh. Lukuvi alisema kuwa kamati hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambayo imeanza kazi jana imezuia magari yote yanayokwenda kijijini hapo ili kutoa nafasi kwa Mchungaji Mwasapila kuhudumia wagonjwa waliopo hadi idadi yao itakapopungua.
hii deal ya wakubwa. ynai hata serekali inaamini nguvu za giza !
ReplyDeleteWewe Anon wa kwanza acha kuwa mkiritimba,Imani za watu unasemaje nguvu za Giza,kibaya kwako kizuri kwa mwenzio.wewe usipoweza kuamini waache wenye kuamini subiri yakukute utakwenda na wewe au ndugu zako wamefika kama ujafahamu.
ReplyDeleteWATANZANIA WENGINE UWEZO WA KUFIKIRIA NI ZIRO. INGEKUWA NI MZUNGU KATOKA MAREKANI NA HII TIBA NADHANI KUSINGEKUWA NA MIKANGANYIKO. WABONGO HATUKUBALI KABISA KUWA WATU WAPO WENYE IMANI, VIPAJI NA UWEZO KUZIDI WENGINE. WE UNAYEJIFICHA WA KWANZA ZAMU YAKO YAJA WEWE.
ReplyDeletekaka pole kwa kazi pia nashukuru kwa kutuweka karibu na wenzetu, ilaq tu mimi maoni yangu ni kuhusu huu utaratibu wako wa maneno unapokuwa unaandika, unachanganya kiswahili mno, kwa mfano juma chama na my wife wake hiyo ni nini? au chuo kikuu cha ardhi university pia nini? kaka jaribu kuweka utaratibu mzuri wa kiswahili chetu, wewe ndiyo mkuza kiswahili chetu kaka mkubwa. kila la heri na kazi njema.............
ReplyDeleteWee unayelalamika kiswahili kiswahili...Mbona hata lugha za kidhungu zina misema mingi tu mipya na inaingizwa kwenye dictrionary zao kila mwaka? Ina maana kiswahili chetu ndio hakikui tu ? kwa taarifa yako kiswahili unachoongea leo sio walichoongea baba zako...Lugha hutembea haisimami...
ReplyDeleteKwa kukusaidia tu Google new word & slag 2010 Merriam webster