Rais Jakaya Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Bw. Jean Ping uwanja wa ndege wa Bole jijini Addis Ababa tayari kwa mkutano wa kutafuta suluhu ya uongozi wa Ivory Coast leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Afadhali WAAFRICA tutafute suluhu la Ivory Coast kwa maana huko ulaji hamna naona dunia ipo kimya inaangalia tuu mauaji. LIBYA kuna mafuta angalia wanavyohangaika kumtoa Ghadafi kwa nguvu supply ya mafuta iongezeke, maana bei ya mafuta imepanda juu kwa vile Libya hai-supply sasa.
    AFRICA WHEN ARE WE GOING TO LEARN THAT WHITE PEOPLE WILL ONLY HELP WHEN THEY GET SOMETHING IN RETURN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...