Askofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge akipaka majivu Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika ibada fupi iliyofanyika kwenye makazi ya Askofu wa Ngara leo. Mh. Pinda yuko kwenye zaiara ya Mkoa wa Kagera
Askofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge akipaka majivu mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika ibada fupi iliyofanyika kwenye makazi ya Askofu wa Ngara leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...