Moja ya Scene katika video ya wimbo wa Shika Ushikapo inayoshindanishwa katika Wimbo bora wa Kiswahili (Bendi)

Katika Kilimanjaro Music Awards 2011 Mapacha Watatu Tumefanikiwa Kuingiza Wimbo Mmoja pia Pacha Mmoja Khalid Chokoraa nae Kaingia katika kinyang'anyiro cha Rapa bora wa bendi.
Tunaomba Kura Zenu Tafadhali!
Kupigia Kura Wimbo Wa Shika Ushikapo wa Mapacha Tuma sms yenye maneno G173 kwenda Namba 15747 .
Na Kumpigia Kura Chokoraa Andika M110 kwenda 15747
-MAPACHA WATATU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kazeni buti vijana matunda mtayaona.Mlifanya vizuri kushtuka mapema kujitoa kwenye utumwa wa Twanga,mlikuwa mnatumiwa sana,kazi ngumu hamkuwa hata na muda wa kupumzika,malipo duni,inabidi nyinyi muwe mfano wa kuigwa na wasanii wengine,siku zote binadamu hutaka kujikomboa na kuwa na maedeleo ya ki maisha.Hongera sana mapacha watatu nasi tutawapa sapoti bila kuchoka.
    S.M.Z.Mikocheni.

    ReplyDelete
  2. Naomba ingizeni nyimbo zenu You Tube pleeeeease

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...