
wao wa nguvu usiku huu ukumbi wa Mlimani City, Dar.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
na
HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Harusi yenu ilipendeza sana
ReplyDeletehongereni sana
Am wishing u all the best katika maisha mapya
Hongereni sana Maharusi na hasa dada yangu Angela Ngailo. kaka michuzi uwe unaweka maelezo kidogo kwenye hizi picha hata majina yao kamili basi. Naona huko kwenye picha nyingine unaelezea huyu ni katibu mkuu, wengine hakuna maelezo wakiwemo maharusi. sasa hata maharusi hawana majina ya pili. Weka majina kamili ili wale waviziaji wajue kabisa huyu mkuu keshavuta jiko na huyu binti tayari yuko olewa.
ReplyDeleteNawapa hongera tena wanandoa hao. na Mungu awabariki sana,
Mwananchi, Kivukoni Front
Congrats Martin & Angela Mungu aibariki ndoa yenu
ReplyDeleteit was such a nice wedding sijaonaaa...the designs,no.za mpambaji plz...daah..creativity ya hali ya juu...daah..mmependeza sana na maids pia were flyyyyyyy..the dresses...
ReplyDelete