
Safety Features: Airbag Driver, Airbag Passenger, Airbag Side, Anti-Lock Brakes (ABS), Immobiliser, Safety and security alarm, Rear seat belts, Four Wheel Drive.
Exterior Features :Catalytic Converter, Alloy Wheels, Rear Spoiler
In-Car Entertainment :Radio, CD Player, CD Multichanger, Premium Sound System
Interior/Comfort :Air Conditioning, Central Locking, Electric Windows, Power Steering, Tilt Steering Wheel.
FOR FURTHER DETAILS CONTACT
MR.BIMBO 0713646730, 0719555553
OR MR ALI ON 0713088741.
Kwa mara ya kwanza naona Tanzania biashara (Gari) inakuwa na uwazi! "Transparency". Hivi ndivyo biashara ya gari inavyotakiwa, siyo mtu/watu wanaweka For Sale tu alafu ukipiga mtu anakwambia maelewano, kwanza inakuletea muuzaji shida tu, hata mwenye milioni tatu nae atapiga! Matokeo yake simu yako inakuwa kama X-Mas lights....yaaani kila saa inaita bila tija yeyote zaidi ya usumbufu.
ReplyDeleteMany Congrats car seller..................I guess you have over an average exposure!
safi sana mtoa tangazo, umetoa tangazo lenye sifa ya tangazo halisi la kibiashara,wengine waige mfano huu. siyo kuleta habari nusunusu zenye ku-irritate!
ReplyDelete