HI KAKA MICHUZI,
NAOMBA NAMI LEO UNILUSHIE OMBI LANGU MANAKE IMEKUWA NI MUDA MREFU SANA TUNATAFUTA SOLUTION LAKINI HAIPATIKANI, SASA TUMEONA TURUDI KWENYE GLOB YA JAMII KUOMBA MSAADA NA TUNAIMANI TUTAFANIKIWA KWANI WENGI WAMEFANIKIWA UMU.
NIANDIKA HAPA NIKIWA NA NIA YA KUMTAFUTA MZEE WANGU MMOJA AITWAE ISSA SHAWEJI HUYU MZEE MIAKA YA 78 ALIKUWA ANAFANYA KAZI KAMPUNI YA MADINI PALE MOSHI, KISHA AKAAMIA MADINI ARUSHA NA MWISHO AKAAMIA MADINI DODOMA KATIKATI MIAKA YA 80, MZEE HUYU ALIKUWA NI MTU WA KARIBU SANA NA MZEE WANGU NA FAMILIA YETU HIVYO KUNA AMANA(MALI) ALIIACHA KWENYE FAMILIA YETU KATIKA MIAKA HIYO YA 80 NA KWA BAHATI NZURI AU MBAYA FAMILIA YETU IKAHAMA NA KUHAMIA NJE YA NCHI(UJERUMANI) NA MPAKA TUNAREJEA TENA NCHINI TUKAWA TUMEPOTEZA KABISA MAWASILIANO NA HUYU MZEE. WAZEE WETU WALIANZA KUMTAFUTA MZEE ISSA SHAWEJI ILI WAWEZE KUMPATIA AMANA YAKE LAKINI IKAWA NGUMU KUMPATA, NA KWA BAHATI MBAYA WAZEE WAKAFARIKI GHAFRA KATIKA AJALI, SASA KATIKA KUPEKUA PEKUA TUKAKUTANA NA DIALY YA ZAMANI MNO AMBAYO NDANI YA HIYO DIALY TUMEKUTA MZEE KASISITIZA MNO KUHUSU KUIRUDISHA AMANA YA MZEE ISSA SHAWEJI, HIVYO NDIO SISI KAMA WANAFAMILIA TUNAHANGAIKA KUMTAFUTA HUYU MZEE ILI TUWEZE KUTEKELEZA DHAMILA YA MZEE.
MZEE ISSA KWA SASA ATAKUWA NA ZAIDI YA MIAKA 60 KAMA YU NGALI HAI, NA TUNAMATUMAINI ANAWEZAKUWA ANAWATOTO AU NDUGU AU MTU YEYOTE WA KARIBU HIVYO KAMA TUKIMPATA MTU WA AINA HIYO ATATUSAIDIA MNO KATIKA ILI. HIVYO BASI TUNAOMBA SANA MZEE WA BLOG YA JAMII TUWEKEE ILI TANGAZO ILI WATU WAWEZE KUTUSAIDIA KULIMALIZA ILI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA KIMTANDAO TUANDIKIE
S. S. SHAWEJI
Kuna familia ya kina Shaweji Ni waumini wa Kadiyani wanapatikana pale mnazi mmoja kwenye msikiti wao. Ukitafuta taarifa zao inaweza kukusaidia kidogo.
ReplyDeleteKila la kheri
Jihadhari kuna matapeli watatafuta hata vyeti vya kuzaliwa vya huyo mzee wanajua umetoka ughaibuni kuchuma dola
ReplyDeleteMh ! asante kwa angalizo michuzi on how to comment..however i smell a RAT in this ombi.. yangu ni hayo tu !
ReplyDeletekuna familia za kina shaweji pale tabata na wengine wameamia kibaha..by any chance mkewe alikuwa anaitwa nora au na jee alikuwa na mtoto anitwa sefu au???
ReplyDeleteHi Zepporah,
ReplyDeleteThanks a lot kwa maelekezo yako, samahami unaweza japo kunipatia contact ya hoa kina Shaweji please?, naomba uniandikie kwenye e mail salum2011@gmail.com please.