
Waratibu wa tuzo za Muziki wa Injili Tanzania (Tanzania Gospel Music Awards 2011),pichani kati ni Bwa. Haris Kapiga akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari mapema leo asubuhi kwenye viwanja vya Lidaz Club,kuhusiana na mchakato mzima wa kuyataja majina matano kwa kila kundi ,yaliyoteuliwa kushiriki kwenye tuzo hizo,ambazo zinatarajiwa kufanyika Machi 13 katika ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar.Ukitaka kupiga kura ya mshindi,unachotakiwa ni kuchagua jina la mshiriki na kutuma kwenye namba 15522.Pichani shoto ni Meneja huduma za Elimu na Jamii kupitia mradi wa kupambana na Malaria wa ZINDUKA,Mama Sadaka na kulia ni Mmoja wa waratibu wa tuzo hizo,Michael NKya.
Bofya zaidi kuyasoma majina ya washiriki kwa kila kundi yaliopo kwenye karatasi hii hapa chini.
Mbona short notice hivyo
ReplyDeleteIt is about time...Congratulations
ReplyDeletekunye hiyo karatasi maneno hayasomeki kabisa tunapenda kupiga kura lakini maneno hayaonekani kabisa ktk karatasi hiyo hebu jaribu kuandika kwa herufi kubwa inayoonekana
ReplyDeleteMbona nikijaribu kupiga kura naambiwa nimekosea code? na wakati nimetumia namba 15522 mliyoitaja?
ReplyDeleteinakuwaje hapa????