MAMBO VIPI WDAU WETU NA MSABABISHAJI WA MPANGO MZIMA?NAAMINI KILA KITU KIPO SAWA.TUMETOA TENA NYIMBO MPYA AMBAYO TUNAAMINI ITAFANYA VIZURI KATIKA ANGA LA MUZIKI HAPA NCHINI NA NJE YA NCHI.PIA VIDEO YA WIMBO HUU TAYARI IMESHA KAMILIKA NA MTAWEZA KUONA BAADHI YA VIPANDE VYA PICHA YA VIDEO HIYO AMBAYO IMEFANYWA NA SHOWBIZZ DEFINE.PIA UNAWEZA KUIONA VIDEO HIYO KATIKA FACEBOOK KWA KUANDIKA "TMK MAJITA ORIGINAL"TUNATEGEMEA SANA SUPPORT YENU.
Juu na chini wana TMK Majita Original
wakishuti video yao mpya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mazee tundikeni hili pini Youtube ndo mpango mzima. Facebook sio kwenyewe kivile ... kule ni kwa kuchat na kuchunguzana nani kalaa nini kavaa nini au kenda wapi kutoa ushamba.

    ReplyDelete
  2. ...Ankal, waambie hao Majita halahala na hizo Kombati za geshi. Wamuulize GK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...