Bango haliongopagi...
Kikosi cha Simba leo
Mashabiki wa Simba
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Phili akitoka nje baada ya kuamuliwa hivyo na mwamuzi kwa kosa la kuingia ndani ya uwanja.
Kikosi cha Yanga leo
Salamaleko...
Kimuhemuhe katikati ya uwanja
Wachezaji wa Simba wakimzonga mwamuzi wa pambano hilo kulalamikia bao la kusawazazisha ambal;o awali lilikataliwa lakini baada likakubaliwa. Afisa habari wa TFF Boniface Wambura (shoto)
na afisa utawala Mze Mshangama wakifuatilia mpambano
Mashabiki wa Msimbazi
Nyomi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. YEBOYEBO REFA WENU MUMEMTOLEA WAPI???? MAFISADI NYIE LOL! KZ

    ReplyDelete
  2. wewe anonymous hapo juu ... ufisadi unakujaje hapo sasa...mpira ni moja moja sasa!!...ndio mpira huo sasa.. machester je naye yeboyebo eti eeh au fisadi? kwa marefa

    ReplyDelete
  3. Sasa hapo subiri kiwango cha pesa zilizo patikana, utakimbia

    ReplyDelete
  4. nduguyangu achana na huyo jamaa anachanganya mpira na akilizake za kisiasa kitendo cha yanga kuvaa jezi za rangi ya ccm kaisha chukulia ni ccm?achana nae huyo

    ReplyDelete
  5. Mdau wa Pili mbona imekuuma Mwenzako anatania ndomana kaweka LOL! au ni kweli nyie Yanga mafisadi?????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...