Lady Jay Dee na Machozi Band wakifanya vitu vyao usiku huu katika uzinduzi wa kiota kipya kabisa cha Nyumbani Lounge kilichopo Namanga,ubavuni mwa Best Bite.
Machozi Band na Lady Jay Dee wakikamua usiku huu.

kwa picha zaidi

BOFYA HAPA
na
HAPA PIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Conraturation our very owned longer-lasting and talented musician,we pray that you reach at bibi Kidude's age or more so that we keep physically prouding of you. Ila wahimbaji wake wanamuangusha sana, ni wazito mno na wanaleta uzuri ofisini.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Gadner na Lady Jay Dee kwa hatua hii ya kimandeleo. Hapa pi mmeweza kutengeneza nafasi ya ajira kwa baadhi ya vijana wenzetu. Mungu azidi kubariki juhudi na kazi ya mikono yenu!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana JD na mume wako huu ni ujasirimali mkubwa sana ila ombi langu humo ndani kusipendeze tu bali na wafanyakazi hata kama ni kuwapeleka SA kupata mafunzo basi iwe hivyo. Hotel, restaurant za bongo tukija likizo huduma zao ni wasiwasi sana....Mahala pazuri sana lakini wahuduma wanakua na nyodo kweli...Customer service zero..Ukitaka uvune kweli kweli wewe keep high std kwenye hata ukichaji high vipi kama huduma nzuri watu wakuja tena na tena...

    ReplyDelete
  4. conraturation, wahimbaji
    we anon hapo juu uko nchi gani?

    ReplyDelete
  5. Halafu pia anony hapo juu ana " physically prouding of you". Unamaanisha nini? Au unataka kusama " we will be forever proud of you" . "longer-lasting musician? LOL Wakenya wakichukua kazi, mnalalamika. Kama hujui Kiingereza Mdau, si bora ungeatika Kiswahili tu, kwani lazima?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...