Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imeridhia viwango vipya vya nauli kwa ajili ya usafiri wa abiria katika Jiji la Dar es Salaam. Viwango hivi vipya vimefikiwa baada ya kufuata taratibu za kisheria na za kiutendaji ambazo SUMATRA kama msimamizi na mdhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara inapaswa kuzifuata kabla ya kuridhia viwango hivyo. Viwango vya nauli vinaanza kutumika kuanzia tarehe 10 Machi, 2011.

David Mziray
Meneja Mawasiliano kwa Umma
SUMATRA

KWA ORODHA KAMILI YA NAULI HIZO MPYA
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Maisha yanazidi kuwa magumu tanzania,mnapandisha nauli mishahara ibaki palepale!!wanaichi wataishije jamani!!!utakuwa unafanyia kazi nauli,chakula na malazi vitapatikana wapi???

    ReplyDelete
  2. ndio maana uhalifu na ujambazi unazidi, kwa mchezo huu watu watacha kuwa mafisadi kila wapato chance ya kula mahali.mmmmmmmmmmmh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...