Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imeridhia viwango vipya vya nauli kwa ajili ya usafiri wa abiria katika Jiji la Dar es Salaam. Viwango hivi vipya vimefikiwa baada ya kufuata taratibu za kisheria na za kiutendaji ambazo SUMATRA kama msimamizi na mdhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara inapaswa kuzifuata kabla ya kuridhia viwango hivyo. Viwango vya nauli vinaanza kutumika kuanzia tarehe 10 Machi, 2011. David Mziray Meneja Mawasiliano kwa Umma SUMATRA
KWA ORODHA KAMILI YA NAULI HIZO MPYA
BOFYA HAPA
KWA ORODHA KAMILI YA NAULI HIZO MPYA
BOFYA HAPA
Maisha yanazidi kuwa magumu tanzania,mnapandisha nauli mishahara ibaki palepale!!wanaichi wataishije jamani!!!utakuwa unafanyia kazi nauli,chakula na malazi vitapatikana wapi???
ReplyDeletendio maana uhalifu na ujambazi unazidi, kwa mchezo huu watu watacha kuwa mafisadi kila wapato chance ya kula mahali.mmmmmmmmmmmh
ReplyDelete