Wadau wa chuo kikuu cha Ardhi University wakijipongeza mchana huu Millenium hotel mjini Bagamoyo baada ya kumaliza salama mwaka wa 4 katika nondozzz ya Quantity Surveyor
Wadau wa Ardhi wakijinafasi bwawani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kusoma kote huko mwisho mnakaa uchi?

    ReplyDelete
  2. hongereni.

    ReplyDelete
  3. 5000 inatosha au haitoshi?

    ReplyDelete
  4. Haya tuone kama mtapata kazi.. bora muendelee hivyohivyo kuogelea.. hasa huyo hapo huyo anaye angalia..amekaa uchi

    ReplyDelete
  5. We mdau hapo juu acha chuki binafsi wapi wamekaa uchi? mazingira ya eneo yanaruhusu, wapo swimming pool ulitaka waogelee na suti? mshamba mkubwa, kitu kidogo tu mnajidai mna maadili sana, watu wasifurahi unadhani kula nondo mchezo? WIVU TU!

    mdau honolulu

    ReplyDelete
  6. Wala siwashangai umri wao unaruhusu kufanya wafanyayo. Zamani ukimaliza degree yako ni mtu mzima tayari na majukumu ya familia, tena pengine wakati wa graduation uko kazini tayari. Sasa siku hizi watu wanamaliza shule wako wadogo bado kwanini wasifanye party za teens?

    ReplyDelete
  7. kaka honolulu mpe vidonge huyo anaejidai eti tupo uchi nawasiwasi atakua epraim kibonde kama co basi wanarelate. acheni tujinafasi bwani

    ReplyDelete
  8. WEWE UNAESEMA WAKO UCHI NI FALA SANA NA BILA SHAKA HUNA ELIM YA KUTOSHA COZ HUJUI FURAHA YA KUHITIM HASA ELIM YA JUU ILIYOJAA SHIDA NA MATATIZO KEDEKEDE,KWENDA ZAKO MWANA HARAM MKUBWA WEWE NA WEWE UNAESEMA HAWATOPATA KAZI MBONA BABA YAKO ALIISHIA DARASA LA NNE NA ANAFANYA KAZI AU UWANGA WAKE NDO UNAMWEKA OFISINI KUZUIA WASOMI WASIPATE KAZII?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...